Shabani issa
Member
- Oct 29, 2012
- 6
- 1
Hi members i'm new in dis forum.kuna dada mmoja nilisoma nae o-level baada ya kumaliza tulibadilishana cöntact na kuanza kuwasiliana,bfr hapo nilikuw nampenda lkn ckuwah kumtell nikiw a-level nikamtrace,akanizungusha wee then akaja kunitell kama kuna mwenzang kashawah na ametangaza nia ya kuoa nikakubal matokeo but akaniambia nickate tamaa kwan jamaa hamuelew mana hana mawaclian mazur nae,baada ya muda still nawacliana nae akanitaarif kuw jamaa kam2mia msg kwmb wasitishe uhusiano kw sbb csieleweka na akanionesha msg ya jamaa.kuöna hvyo nikamuuliza vp naweza kupata nafac?akanijib nisubir.baada ya muda flan akanitell kwmb jamaa karudisha moyo but hamuamin, m2 mzm nikamwambia haina shida.cha ajab ananiambia kwmb nicwaze huenda nikawa wake 2kazaa watoto niondoe hofu, kw upande wa mshkaj bado hajavunja nia ya kumuoa huyo demu na nikimwambia nimevunja nia yangu huwa analia pia jamaa hajawah mpeleka kwao but mi anataka nikimaliza masmo 2 niende kwao direct na kasema atanipeleka mwenyew.wanajamvi mnalionaje hili?