Naomba ushauri kwa hili

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
532
96
NIMENUNUA hp pavilion dv2000 ikiwa na win Vista,nikaitoa na kuweka WIN 7,baada ya hapo matatizo ya ku hibarnate yakaanza kutokea,nikiwa natumia mara ghafla inazima,nikiwasha ina resume na smtm yaweza zima tena na ukiwasha ina resume tu,baada ya kucheki system event nikakuta error nyingi tu kuhusu kernel power ID:41 na EVENT ID:88 ikisema the system was hibernated due to a critical thermal event,HOT 361k, na nyingine ikitaka ni upgrade BIOS,lakini nikitaka ku update BIOS ktk sehemu ya kuchagua OS,haipo WIN 7 ambayo ndo nimeiweka ila nikijaza VISTA napata BIOS latest,SO nifanyeje?? au nirudishe VISTA then ndo ni update BIOS?
 

Attachments

  • imagesCAU9BAD2.jpg
    imagesCAU9BAD2.jpg
    6.7 KB · Views: 37
Windows 7 ipi uliyoweka? Premium au Ultimate? na wakati ulipokuwa nayo hiyo Vista hayo matatizo yalikuwepo? naomba jibu kwanza hapo? au jaribu kurudi tena Vista kisha uangalie kuna matatizo kama hayo ya kujizima hiyo laptop yako. unapata message kama hii hapa chini ?

*EDIT: Tried switching on laptop immediately after the safe mode attempt, this time just shortly after the "Windows is starting" Message, I get a Stop Message:
STOP: c000021a [fatal system error]
The initial session process or system process terminated unexpectedly with a status of 0x00000000 (0xc0000001 0x00100310).
The system has been shut down.

Hebu tukopie kisha uiweke hiyo mesagge yake hapa
 
mzee utaumia bure mpaka utaichukia hiyo mashine yako...tatizo ni kwamba HIYO LAPTOP HAI SUPPORT WINDOWS 7 na kukuhakikishia hili ingia hapa
Software & Driver Downloads HP Pavilion dv2000 CTO Notebook PC - HP Customer Care (United States - English) ni official web ya hp fungua sehem imeandikwa select your operating system na hutaona win 7, so umeipa mzigo sio wake...kwa msaada zaidi soma hii post : https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-kufanya-uamuzi-wa-kubadili-windows-yako.html
utahangaika sana na hayo matatizo ukiendelea na hiyo window!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom