Naomba mnishauri, nashindwa kuelewa kila kazi ninazoziona zinatangazwa sehemu mbalimbali zinahitaji uwe na uzoefu wa kaz usiopungua muda fulan(miaka mitatu na kuendelea).Je sisi tunaotoka vyuoni uzoefu tunapata wap au ndo tusifanye kazi?
usiogope. wanaokuita interview wanaweza kugundua APTITUDE yako kuwa ni ya juu kuliko ambae ana uzoefu wa miaka kadhaa. pia apple ina mbegu nyingi lakini inayoota na kukupa mmea ni mbegu moja kati ya mbegu 500 zilizomo kwenye tunda. kitu kikubwa ni KUJIAMINI na kuijua kwa undani kazi unayoiomba ukaweza kuielezea kwa ufasaha. usiende KUJARIBU.