Dan Narisis
New Member
- May 2, 2019
- 2
- 1
Habari wana jukwaa wa jf.
Mimi naomba ushauri juu ya swala langu kama ifuatavyo.
Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi kwa kipindi cha miaka minne sasa mpaka ilipofika tarehe 11/7/2025 nilipoachishwa kazi kwa kosa la upotevu wa mafuta Lita 20 kwa kuambiwa nimeweka Lita 60 badala ya Lita 80 ambazo hutakiwa kuwekwa kwenye jenereta ya ofisi, nikaitishwa kikao na badae kupewa barua yangu ya kuachishwa kazi.
Baada ya kuachishwa kazi nimefatilia stahiki zangu za kuachishwa kazi sijapewa mpaka leo badae ikabidi niende NSSF pale na barua yangu ili nifungue madai ya mafao ya kukosa ajira, kwakweli hatua ya kwanza nimefanikiwa lakini changamoto imekuwa bado kwa mwajiri kufanya verification yaani kuthibitisha pale kwenye ule mfumo(NSSF portal) hajathibisha pamoja na jitihada zote za kumjulisha na NSSF wao kumpigia simu lkn hajafanya ivyo mpaka sasa.
Sasa naomba watalamu wa Mambo ya Sheria au wazoefu wanishauri kwenye hizi issue mbili
1. Jinsi ya kupata stahiki zangu za kuachishwa kazi kutoka kwa mwajiri wangu wa zamani
2. Kupata stahiki zangu za kuachishwa kazi kutoka NSSF
Natanguliza shukrani na napokea ushauri wowote 🙏