Naomba ushauri kuhusu umeme wa solar

bajok

Senior Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
161
Reaction score
72
Habari wadau,

Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…