Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo.
Habari ndugu wana Jamii forum, leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatzo, naomben mawazo yenu kabla sijaenda kwa fundi
Kuna taa mojawapo ya indicator haifanyi kazi katika huo upande. Inaweza kuwa ya ubavuni au nyuma ambapo bulb inakuwa imeungua. Hicho ndio chanzo cha tatizo hilo ukizunguka gari utagundua ipi ina changamoto kisha badilisha weka bulb mpya problem solved.