Naomba ushauri kuhusu Ms office packages, Window OS and antivirus

Naomba ushauri kuhusu Ms office packages, Window OS and antivirus

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,237
Habari wanajamvi la tech na wengine wenye ufahamu wa hili jambo.

Niko kwenye mchakato kwa kuwa na supply Microsoft office packages (Ms2007,Ms2010,Ms2013) ,windows OS kwa makapuni au institutions ,naomba kujuzwa ni wapi au kampuni gani hapa East africa wanaweza nisaidia mimi nanunua kwao nami na uza kwa wengine software ziwe genuine na si "pirated software".

Pia nahitaji kampuni wanaohusika na kuuza antivirus kama Kaspersky na symantec endpoint protection.
Please note nahitaji kwa ajiri ya mimi kusupply na si kwa matumizi yangu.Natanguliza shukurani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom