Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
Tafuta mwingine ,bora amesema mwenyeweKuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.
Mungu aniepushie mbali
Ndoa yako ina umri gani? Na mmefahamiana kwa muda gani kabla ya ndoaKuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.
Asante kwa kuchangiaAnzia kwa mhenga wako kwanza kabla ya kukimbilia mitandaoni kwani jf ndiyo ilisimamia ndoa yako?
akikujibu niite.Kabla ya kuoa ulikuwa unampiga nani bao kila cku?!
Mwanaume mwenye nguvu za kiume lolAkuepishie nn?!
Miaka mitatu na tulifahamiana mwaka mmoja kabla ya ndoa lakini tulikutana kimwili baada ya kuoana.Ndoa yako ina umri gani? Na mmefahamiana kwa muda gani kabla ya ndoa
Kuna tatizo linasumbua sana. Kimaumbile Mimi kulala bila kupata bao moja au mbili (bao moja 30minites-1hr)siwezi kabisa na hapo weekend napata kama tano hivi kama siku yote nikiwa nyumbani. Hii hali mke wangu naona hawezi sasa anachokifanya hakiwa hana Moody anananitegeshea toka tu nihangaike nalo na Mimi siipendi hii hali tunaishia kugombana tu. We have several discussion mwisho kaniambia kama vipi niongeze mke wa pili tu . Sasa kwanza Mimi sijafikiria kuongeza mke wa pili pia sijafahamu kama hii ruhusa anamaanisha au Kuna jambo jingine. Naogopa sana kuingia kwenye dhambi ya kuzini. Kama mwanamke naomba unipe uzoefu wako.
Mwanaume mwenye nguvu za kiume lol
Not to that extentUnataka awe anakufanyaje sasa?!
Not to that extent