Kwn mkuu njia pekee ni hyo tu,nimekuwa na wachumba weng sana sasa naona mda wa kuoa umefika bt ndo ivo tena.
haha u cant be serioussasa dawa yake moja tuuu....mtie aibu. vunja uchumba
haha u cant be serious
Kwn mkuu njia pekee ni hyo tu,nimekuwa na wachumba weng sana sasa naona mda wa kuoa umefika bt ndo ivo tena.
Mshukuru mungu anakuonesha tabia yake hata kabla hamjaoana
Hivi mwanamke kuwa na misimamo na ujasiri ni tatizo?
Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa,
Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa katakata mpaka eti mwezi wa 10 bila sababu za msingi na mim nimechoka sana na upweke.
Najiuliza kwanini akatae,alafu ana misimamo sana na ujasiri,nahisi hata tukiwa kwenye ndoa akiamua kuwa hanipi,najua sitapata kweli tendo.
Nisaidien wanajamvi.
Nawasilisha.
hapo sasa.......wanataka ukuiambiwa mguu pande we sawa...mguu kushoto we sawa
hakuna kubisha wala kureason