Hakuga Member Joined Apr 15, 2021 Posts 29 Reaction score 31 Jan 5, 2022 #1 salama wakuu? jamani nataka kununua godoro toka kampuni ya tanfoam. nataka kujua lipi bora kati ya 6*6 nchi 8 na 6*6 nchi 10. lipi linafaa zaidi?
salama wakuu? jamani nataka kununua godoro toka kampuni ya tanfoam. nataka kujua lipi bora kati ya 6*6 nchi 8 na 6*6 nchi 10. lipi linafaa zaidi?
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,088 Reaction score 4,089 Jan 5, 2022 #2 Nadhani uneune wa inchi 8 ni bora zaidi
Hakuga Member Joined Apr 15, 2021 Posts 29 Reaction score 31 Jan 5, 2022 Thread starter #3 Doubleg Mwamasangula said: Nadhani uneune wa inchi 8 ni bora zaidi Click to expand... nashkuru sana
nerilan JF-Expert Member Joined Dec 11, 2013 Posts 467 Reaction score 709 Jan 5, 2022 #4 Doubleg Mwamasangula said: Nadhani uneune wa inchi 8 ni bora zaidi Click to expand... Nadhani huu ni ushauri mzuri. Kuna muuzaji aliwahi kusem kama huna matatizo ya kiafya ya mgongo, then inchi 8 ndiyo zuri
Doubleg Mwamasangula said: Nadhani uneune wa inchi 8 ni bora zaidi Click to expand... Nadhani huu ni ushauri mzuri. Kuna muuzaji aliwahi kusem kama huna matatizo ya kiafya ya mgongo, then inchi 8 ndiyo zuri
ELIJAH TANFOAM SUPPLIER Member Joined Mar 12, 2023 Posts 12 Reaction score 2 Mar 12, 2023 #5 View attachment Elijah.jpg