Naomba ushauri kuhusu hili linalonisumbua

Naomba ushauri kuhusu hili linalonisumbua

Usikurupuke ndugu, embu fanya uchunguzi wa kina ujue sababu ujiridhishe, kuna factors nyingi sio tu usaliti, yaweza kua stress za familia, kazi, uchumi, au yeye mwenyewe tu hayuko sawa
 
Jamani nimejaribu uamzi lakin nimeshindwa hata kama nikiamua kutafta mwingine naona bado sto kua normal kama vile ningelikua nae yy

Sasa hata tukikushauri bado haitasaidia kitu. We endelea kuumia tu, ukichoka utajitoa mwenyewe.
 
mapenzi hayalazimishwi mkuu ukiona mambo yamebadilika na kua yalivyo kwa sasa ni vyema kuliko kufikilia kutenda mambaya ujiondoe kwenye huo uhusiano...
kwanza hujamuoa na galfredi tu...pengine ukikaa pembeni na kuedelea na ishu zako bila kuhangaika nae itakua ujumbe tosha kwake kwamba hata wewe unaweza kuishi bila ya yeye.
 
Vijana mkipenda wekeni akiba kidogo ya upendo. Kupenda asilimia zote ukitendwa unaweza kuwehuka au kufa kabisa
 
Dooh masikini inaonekana hukuwahi kupitia hali hii kwenye mahusiano Pole Sana .pata uzoefu sasa
 
MAPENZI YA MBALI MAGUMU SANA MKUU. HUYO KESHAPATA MTULIZO, ANAKUNWA HASWA. NAJUA INAUMA ILA NDYO UKWELI
 
yaan nipo njia panda afu amecheza na muda wangu
Mkuu kwa jinsi ulivyojieleza hapa nimepata picha wewe ndio unashida kidogo, umeshindwa kuprove enough kwake kama mwanaume anayeweza kuwa mume bora kwake.
 
Hakika sikuwahi kupitia hali hii so ndio maana hata imenishinda kupambana nayo so ikabidi nipate japo mawazo ya wengine ili nitizame nijinsi gani nitaweza kusimama imala tena na kurudi katka hali yangu halisi na sio kwa mahangaiko haya
 
N ujinga ukiopitiliza kuanza kulia lia wakati unazijua kabisa tabia za wadada. Jiongeze, punguza mazoea badae umuache.
 
Back
Top Bottom