Comment zingine bna zinanichekesha sana....Mkishafanikisha kazi TRA mkavaa vle vitai ka ulimi wa Paka mnajiona kumpita Yesu
Kila unaekurana nae unakunja sura kama mnakamuliwa jipu
habari ndugu zangu?
kama walivyojaribu bahati zao watanzania wenzangu katika kufanya interview utumishi kwa ajili ya Tra basi nami nilijaribu bahati yangu na matokeo yametoka leo na namshukuru mwenyezi Mungu nimefaulu paper zote mbili yani tax na custom.so nilikua nauliza katika oral interview naruhusiwa kufanya kwa posts zote maana nimepangiwa tarehe tofauti tofauti?
asanteni
na pia akikosa zote ajaribu next time...😀😀😀😀😀 natania tuBaba unaruhusiwa yan kafumue kote ukipata kote basi ufanye kazi zote ukipata sehemu moja insha Allah
practical ni sisi wa business analyst na system adminWakuu na mimi naomba kujuzwa nasikia watu wanajdili kuhusu practical interviews, je hii inazihusu kada za tax officer, revenue officer na customs?? asanteni.
Ndio nini hiyo??Wakuu na mimi naomba kujuzwa nasikia watu wanajdili kuhusu practical interviews, je hii inazihusu kada za tax officer, revenue officer na customs?? asanteni.