H Harmoraj Member Joined Dec 27, 2018 Posts 52 Reaction score 55 Mar 23, 2025 #1 1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,227 Mar 23, 2025 #2 Anza na namba 2,anzia kuuza misumali na bati
mwampi Senior Member Joined Jul 7, 2023 Posts 130 Reaction score 231 Mar 23, 2025 #3 Harmoraj said: 1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha? Click to expand... jazia nyama basi usiwe mvivu upo mkoa gani kwanza?
Harmoraj said: 1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha? Click to expand... jazia nyama basi usiwe mvivu upo mkoa gani kwanza?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,618 Reaction score 21,307 Mar 26, 2025 #4 Nitarudi KAZI ni kipimo cha utu
H Harmoraj Member Joined Dec 27, 2018 Posts 52 Reaction score 55 Mar 26, 2025 Thread starter #5 mwampi said: jazia nyama basi usiwe mvivu upo mkoa gani kwanza? Click to expand... Tanga
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,732 Mar 27, 2025 #6 Harmoraj said: 1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha? Click to expand... Anza na unachokipenda kwanza, we ndani ya nafsi yako unapenda kufanya shughuli gani? Kabla haujapata mawazo ya watu
Harmoraj said: 1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha? Click to expand... Anza na unachokipenda kwanza, we ndani ya nafsi yako unapenda kufanya shughuli gani? Kabla haujapata mawazo ya watu
Jett JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 2,706 Reaction score 5,687 Mar 28, 2025 #7 Biashara zote ni usimamizi tu, usimamizi mbovu=matokeo mabivu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,877 Mar 29, 2025 #8 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw