Naomba ushauri katika hili

Naomba ushauri katika hili

MNJONJO 10

New Member
Joined
May 27, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu kwema humu?

Nina ndugu yangu ana shahada ya Ualimu na anataka kwenda kusoma diploma ya quality Assurer, je ina faida gani Kwa huyu Kijana?
 
Kama ana connection basi hio kitu ina pesa sana haswa akipata kwenye hizi manufacturing industries kama Breweries
 
Back
Top Bottom