Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

Naishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeni
We nawe!!

Yaani unakaa kwake sio!!?

Huyo anataka ndoa ya kudumu ili akuendeshe vizuri na kukuza status zake kia married!!

Anaweza kuwa mutu ya mfumo hiyo!!!

Wanatabia za kuongea nje usiku na sim muda mrefu SANA!

Makinika sepa faster Mkuu!!
 
Sema kajichubua,hio kiasi ni wewe umesema

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Niendelee nae au nisonge mbele nipige chini
Sasa unapouliza uendelee nae au umuache ? Utashindwa kueleweka kama mwanaume halisi mwenye maamuzi magumu na sahihi, kwasababu Akili Mungu aliyokupa inakutosha kabisa kuyahimili mazingira yako na mahusiano kwa ujumla na huhitaji nyingine.....man up bro

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mpaka nimekuja hapa mkuu nipo half half yani sielewi nakusanya point then nakuja na comeback ya maana
 
Naishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeni
Hapo una afadhali, ni rahisi sana wewe kumtoroka manake huko mbele atakuja kukuletea matatizo makubwa sana, tafuta mtoto mbichi ishi nae mjenge maisha, mtu kama huyo ni rahisi sana kukuua ndugu yangu, hana sifa za mwanamke wa kuoa
 
Mpaka nimekuja hapa mkuu nipo half half yani sielewi nakusanya point then nakuja na comeback ya maana
Huyo ALIKUA anasubiri KWA hamu sana type yako,yawezekana akikataa na tamaa kabisa,SASA umejileta kwenye maisha yake,atakuganda sana !wa aina hii mara nyingi wanakuendwsha sana yaani wewe ndio unakua umeolewa vile!

"Huwezi nipotezea muda"yaani hataki mwachane kabisa mkuu

Peleka posa mkuu!
 
Hapo una afadhali, ni rahisi sana wewe kumtoroka manake huko mbele atakuja kukuletea matatizo makubwa sana, tafuta mtoto mbichi ishi nae mjenge maisha, mtu kama huyo ni rahisi sana kukuua ndugu yangu, hana sifa za mwanamke wa kuoa
Ndo unipe muongozo mkuu kivipi yani kwasababu ya muonekano wake wa kikahaba au mambo yake ya kisiri ndo yatakayo niangamiza
 
Kwenye jambo la kupelekeshwa nimeficha tu ila dah ijapokua kuna maokoto ya kutosha sana yani
 
Ndo unipe muongozo mkuu kivipi yani kwasababu ya muonekano wake wa kikahaba au mambo yake ya kisiri ndo yatakayo niangamiza
Kwanza kabisa elewa kuwa angekuwa anakupenda kutoka moyoni asingekaa muonekano wa kikahaba nje ya nyumba yenu yaani mambo hayo angekuwa anakuonesha wewe tu, lakini kitendo cha yeye kuonesha watu wengine pia bado kuna kitu anakitafuta kwa hao watu,
 
Ila kwenye jambo la umalaya tangu nipo nae sijawahi kumfuma na simu kila kila nikiangalia sioni hizo mishe za kunicheat ila muonekano wake tu ndo unanipa wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…