BIMBILISAMAJI
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 291
- 58
hapo hata mimi kaniacha.Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu.
Bro, taratibu....Hebu fafanua kwanza hapo juu...
Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja aliniambia anataka kuzaa na mimi japo mtoto mmoja kwakuwa umri wake sasa umekwenda (39 years) na hajapata mtu wa kumuoa kutokana na watu kumuogopa kutokana na elimu yake (Ph dada)..Sasa naomba ushauri wenu nifanye maamuzi gan?? NIpeni ushauri tu sio maneno ya ovyoovyo....nilimwambia nitamjibu asubiri kidogo....

Mundu hiyo ni intro tu nipe ushauri man...je nimpe mtoto au?..Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu.
Bro, taratibu....Hebu fafanua kwanza hapo juu...
Aisee nitamwambia lakin dar cjui nianzaje..manake amesema kuhusu mtoto kila kitu atagharamika yeye...Mbona kama anataka kuharibu ndoa za wengine wakati yeye anataka ndoa pia?
Tell her to keep waiting the man will come. Ama akatafute widower.
Bro lakini si umeoa tayari? Mbona bado macho juujuu?
Hata mi nafikiria kumgegeda lakin moyo unasita yf asije akajua......Subiri, atakwambia mara ya pili pengine mara ya kwanza alikua anakutania.. Mara ya Pili atakwambia tena, mwambie nipe muda. Akikwambia mara ya tatu MWAMBIE TWENDE TUKAGEGEDANE maana watoto NI ZAWADI TOKA KWA BWANA!!
Aaaaah umenifurahisha, hapana ila nilikuwa naomba ushauri c unajua madada nyie mko wachache na mwenzenu ndo anakaribia ufote huo....mwishowe ataambiwa awezi shika mimba tena kutokana na umri..Wewe ni sperm donor?
mie natamani kukutusi