Riobert
Member
- Oct 12, 2020
- 18
- 17
Habari,
Kwa majina mm ni robert napatikana manyara kwa sasa.. Shida kubwa na changamoto ninayopitia ni kuwa nina tatizo la figo imekufa kabisa nafanya dialysis nina mwaka na nusu sasa.
Tatizo linakuja tena kwa mama yang mzazi dr[emoji26][emoji26][emoji26]juzi kati ametoka vipimo ameambiwa kuwa figo mmoja tayr imeharibika so tatizo limehamia figo ya pili.
Swali langu je nawezaje msaidia mama apone kabla hazijafa zote ikawa ghrama kubwa maan hpa mm natumia cash kwa dialysis nafanya mara mmoja kwa mateso imetushinda sahivi.
Help me pls my mom is in dangerous condition