Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:
Dell Inspiron 5040
Processor: Intel core i3 380m @ 2.53ghz
Memory: 4gb ddr3 ram
Hard disk: 500 gb
Operating system: DOS
Price :Tsh 890,000
Samsung RV511
Processor: Intel core i3 380m @ 2.53ghz
Memory: 3gb ddr3 ram
Hard disk: 320 gb
Operating system: Windows 7 home premium
Price: Tsh 990,000
Waungwana naombeni ushauri niko njiapanda. Nilishataka kununua dell ila nikaambiwa na watu kwamba dell za siku hizi nyingi zimeshachakachuliwa hivyo si imara. Please naombeni mawazo yenu.