kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 139
- 243
NaamKwanza ww ni graduate wa course gan?
Wajuzi watakuja kukupa muongozo mkuu --- jukwaani huwezi lazimisha majibu ya muda huo huo - hakuna poshokwa hiyo mmekimbia au mmegoma kunijibu aisee?
Ndugu yangu ninachoweza kukushauri kafungue account reddit.com. Halafu jiunge Sub-reddit ya unachotaka kujifunza. Halafu utakuta watu wenye changamoto kama yako ambao waliuliza wakajibiwa na wataalamu. Ila vitu vinabadilika kwa haraka sana ukikuta the latest mtu aliuliza swali kama la kwako ni zaidi ya 3 months ago uliza swali lako mwenyewe. Ukiuliza ambatanisha kuwa unataka ujifunze skillz gani ? njia gani ni sahihi ? pamoja na malengo yako na muda unaotegemea ku-invest kwenye kujifunza ?Wakuu wana JF, hope mpo salama.
Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY courses.
Kwa wale ambao wametimiza ndoto zao kwa kutumia kozi zozote za Udemy, naomba aweze kutoa comment yoyote.
Je, hizo zina ubora gani kwa upande wa coding/programming hasa softeware development?
Na je, kuhusu cyber, kama kuna mtu amewahi kuzisoma hizo kozi, hao majamaa wanatoa real world practicals ambazo zinaweza kuniongezea kitu nikiweka na juhudi zangu?
Naombeni ushauri maana nimedhamiria sana kusoma udemy courses regrdless how costy they are.
mkuu i have intermediate ya laravel, and i have managed to develope some 'todo' projects (CRUD), Na kwa asilimia 80, nimeandika codes mwenyewe ila asilimia 20 nimetumia other resources kukamilisha.Unataka programming language gani?
Au ya technology gani?
Mfano Android, Java, C#, MVC, REST API, PhP, e.t.c
Za kuongezea join zile course za bure za Havard, wanafundisha na vi homework wanatoa. wajuzi watazifafanua zaidimkuu i have intermediate ya laravel, and i have managed to develope some 'todo' projects (CRUD), Na kwa asilimia 80, nimeandika codes mwenyewe ila asilimia 20 nimetumia other resources kukamilisha.
nimeweza kutengeneza simple school management system. ila kilichonishinda kuelewa ni how to create and work with A.P.Is in fetching data.
kwa kuwa i have some skills in laravel, nataka nijifunze one of the frontend framework, ambayo for my preference, nimeamua nijifunze react.
sasa hii react jaribu kutumia yutube, naona mambo hayapandi. nilivyoingia udemy, nikaona "fullstack development" nikaona nizame humo humo.
mkuu hii ni sahihi, shida, bado sijapata sehem ya kufanya real practicals, japokuwa personaly natengeneza projects ndogo ndogo.Unataka nini ndugu Graduate
1. Programming
2. Cybersecurity
Tutorials hazikupeleki popote mkuu, Fanya project
Mimi ningekushauri ingia Udemy na site zingine mfano wa hizo
Tafuta kozi ukiiona chukua jina na tutor kisha kaitafute kwenye torrents.
Unataka kuwa programmer ama cybersecurity analyst?mkuu hii ni sahihi, shida, bado sijapata sehem ya kufanya real practicals, japokuwa personaly natengeneza projects ndogo ndogo.
lakini upande wa cyberSec, ndo nashindwa kupata sehem ya kufanya hizo project.
kama kuna mtu ana ka mpuni au anaweza kuniipatia hata connection basi anisaide niweze kujua mambo zaidi
sawa mkuu, sema kwa tafiti nilizofanya, hasa kule reddit, huyu mmama ( Dr. Angela Yu, Developer and Lead Instructor) nimeona watu wanamsifia sana
Basi lipia kozi Udemy ili wakupe na sehemu ya kufanya lab work (practicals).mkuu hii ni sahihi, shida, bado sijapata sehem ya kufanya real practicals, japokuwa personaly natengeneza projects ndogo ndogo.
lakini upande wa cyberSec, ndo nashindwa kupata sehem ya kufanya hizo project.
kama kuna mtu ana ka mpuni au anaweza kuniipatia hata connection basi anisaide niweze kujua mambo zaidi
sawa mkuu, sema kwa tafiti nilizofanya, hasa kule reddit, huyu mmama ( Dr. Angela Yu, Developer and Lead Instructor) nimeona watu wanamsifia sana
Unataka kuwa programmer ama cybersecurity analyst?
Keki ya TechWorld ni kubwa hivyo chagua Niche unayotaka kuifanyia kazi.
Baada ya kuchagua upande ndio tukwambie uelekeo ni upi
ntaifanyia kazi mkuuBasi lipia kozi Udemy ili wakupe na sehemu ya kufanya lab work (practicals).
Mara nyingi mwenye kozi hukupa virtual workspace ya bure.