nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,199
- 1,596
Acheni kuusingizia moyo, kazi ya moyo katika mwili wa binadamu ni kusukuma damu, kupenda ni kiherehere chako tu.Moyo wako unakuambia kufanya kitu gani kwake, maana kama mlishaachana na sababu zinaeleweka itakubidi umuulize anakuja kwako kufanya nini!
Acheni kuusingizia moyo, kazi ya moyo katika mwili wa binadamu ni kusukuma damu, kupenda ni kiherehere chako tu.
Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayeysasa si umpigie tu mkuu uombe maelekezo yote na kama hutak aje unaweza kumwambia wewe mwenyewe kuliko kuja huma na kuomba msaada wakat majibu yote yapo kwako.
Anadai nikampokee atafika jion.. Sas sijui anatak tu nimpe lift tu nimpelek kwao au anajambo. Hadi tunaachana alikua dar sijui huko mkoan alifata ninHapo hujaeleweka, ukampokee kwani anakuja kwako, au atafika usiku anataka umsindikize Uswahilini kwao, na je, yeye huwa anaishi wapi? Au mlikuwa mnaishi wote mlipokosana ukamtimua?
Moyo wangu unanambia niende afu nisiendeMoyo wako unakuambia kufanya kitu gani kwake, maana kama mlishaachana na sababu zinaeleweka itakubidi umuulize anakuja kwako kufanya nini!
Ndo nasikia kwako hioHawara huwa haachwi usilete utoto wako hapa.
Anayeachwa ni mke tu, hawara huwa mnapoteza mawasiliano tu, ukifufuwa mawasiliano mwendo mdundo.
Au hujasikia hawara hana talaka?
Sasa wew ni mnafiki tena ni mzandiki sijajua wew mwanamke au mwanaume ila wew hujielewi tayari unampenzi na isitoshe anakupenda na wew unampenda kinachokuweka njia panda kipi? Kama mapenzi wew na yeye si yalishakwisha sasa wew unakuwaje njia panda acha hizoooooo tulia na mpenz wakoKama miezi nane iliyopita niliachana na mpenz wangu kutokana no sababu mbalimbali ikiwemo uaminifu.
Since hapo nilidelete everything kuhusu yey kichwani mwangu na had ktk sim na diary zang. Na hatukutafutana Tena hakuna aliyempigia mwenzio wala kumtumia meseji for 8 months. Na mimi nishapata mpenzi mwingine, cha ajabu leo asubuhi KANIPIGIA SIMU NIKAMUULIZA WEW NAN AKANITAJIA JINA NA KUNAMBIA KESHO KUTWA NIKAMPOKEEE UBUNGO.
Nikashindw kumjibu papo hapo maan bado niko njia panda sielew if anadhamiria jambo zuri au baya kwangu nikaamua niingie humu kuomba ushaur NIENDE AU NISIENDE??
Jitahidi kujieleza ueleweke. Mliachana au wewe ulimwacha? Kama mmeachana mwambie akutafute siku nyingine maana kwa wakati huu huna muda wa kukutana nae. Una majukumu meeengi ya uhakiki wa nyeti kazini.Mkuu mm niko njia panda sijajua lengo Lake nn kama nikimkubalia au nikikataa ndo mana nimekuja humu either Kuna mtu anajua hizo tabia zao labd ilishamkuta nayey
Hhhmm msaad unawez kumpa mtu ambaye mliachana?? Msaad wenyew hadi tuonane!! Kama anahitaji Msaad si angesem nimtumie pesaacha ujinga Wewee nenda kampokee ye si kakuomba msaada tu? Msaidie kama vile unamsaidia mtu mwingine..