TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,593 Jan 25, 2020 Thread starter #21 stakehigh said: ama unataka siasa za uropokaji nenda upinzani kama unataka siasa safi za watu wenye akili zao nenda CCM, kuhusu process za kujiunga sijajua kwa kwel ila mm pia nna mpango wa kupata kadi ya uanachama hvi karibuni Click to expand... Vp ushafuatilia mchakato wa kadi za chama zinavyotolewa ??
stakehigh said: ama unataka siasa za uropokaji nenda upinzani kama unataka siasa safi za watu wenye akili zao nenda CCM, kuhusu process za kujiunga sijajua kwa kwel ila mm pia nna mpango wa kupata kadi ya uanachama hvi karibuni Click to expand... Vp ushafuatilia mchakato wa kadi za chama zinavyotolewa ??
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 39,746 Reaction score 40,030 Jan 25, 2020 #22 TheDreamer Thebeliever said: Vp ushafuatilia mchakato wa kadi za chama zinavyotolewa ?? Click to expand... soon ndo naaanza
TheDreamer Thebeliever said: Vp ushafuatilia mchakato wa kadi za chama zinavyotolewa ?? Click to expand... soon ndo naaanza
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,894 Reaction score 19,776 Jan 25, 2020 #23 TheDreamer Thebeliever said: ODM kirefu chake ni nn?maana ndio nakisikia,kiongozi wake mkuu nani ,nitangulize shukurani naomba ufafanuzi Click to expand... Kiongozi wake ni jaduo mmoja hivi,huwa anapenda sana kutembelea jamhuri ya burigi Sent using Jamii Forums mobile app
TheDreamer Thebeliever said: ODM kirefu chake ni nn?maana ndio nakisikia,kiongozi wake mkuu nani ,nitangulize shukurani naomba ufafanuzi Click to expand... Kiongozi wake ni jaduo mmoja hivi,huwa anapenda sana kutembelea jamhuri ya burigi Sent using Jamii Forums mobile app
TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,593 Jan 25, 2020 Thread starter #24 stakehigh said: soon ndo naaanza Click to expand... Ukifanikisha utaniambia
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Jan 25, 2020 #25 TheDreamer Thebeliever said: Ebu nifafanulie hapo kwenye kufaidi na kutofaidi keki ya taifa,kuna kaupendeleo gani nikiwa mwana CCM?? Click to expand... Ukiwa ccm kesi za uhujumu uchumi hakuna...
TheDreamer Thebeliever said: Ebu nifafanulie hapo kwenye kufaidi na kutofaidi keki ya taifa,kuna kaupendeleo gani nikiwa mwana CCM?? Click to expand... Ukiwa ccm kesi za uhujumu uchumi hakuna...
TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,593 Jan 25, 2020 Thread starter #26 LIMBOMAMBOMA said: Ukiwa ccm kesi za uhujumu uchumi hakuna... Click to expand... Hahah sheria ngumu sana siku hizi hata ukimshambulia mtu kwa mangumi inakuwa UMEUJUMU UCHUMI hapo sasa. Ila kama mwanasiasa lazima huwe msafi.
LIMBOMAMBOMA said: Ukiwa ccm kesi za uhujumu uchumi hakuna... Click to expand... Hahah sheria ngumu sana siku hizi hata ukimshambulia mtu kwa mangumi inakuwa UMEUJUMU UCHUMI hapo sasa. Ila kama mwanasiasa lazima huwe msafi.
Gachuma jr JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 839 Reaction score 453 Jan 25, 2020 #27 Aisee kazi ni kazi Mura.....!! Sent using Jamii Forums mobile app
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,352 Reaction score 15,425 Jan 25, 2020 #28 TheDreamer Thebeliever said: Vp nafasi za vijana kupata uongozi hapo CCM,hilo limekaaje?? Click to expand... Makonda, Gambo, Hapi, Homera, Bashungwa, Kigwangalla, Gondwe, Kidoti, Mnyeti, Awessu, Jaffo, ... Niendelee?
TheDreamer Thebeliever said: Vp nafasi za vijana kupata uongozi hapo CCM,hilo limekaaje?? Click to expand... Makonda, Gambo, Hapi, Homera, Bashungwa, Kigwangalla, Gondwe, Kidoti, Mnyeti, Awessu, Jaffo, ... Niendelee?
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,352 Reaction score 15,425 Jan 25, 2020 #29 TheDreamer Thebeliever said: Taratibu za kuwa mwanachama CCM zipoje,upatikanaji wa kadi na gharama za kadi je zimekaaje? Click to expand... Nenda ofisi za tawi za mtaa unaoishi. Au kwa urahisi zaidi, muulize balozi wa CCM aliye mtaani kwako. Ada ni ndogo tu.
TheDreamer Thebeliever said: Taratibu za kuwa mwanachama CCM zipoje,upatikanaji wa kadi na gharama za kadi je zimekaaje? Click to expand... Nenda ofisi za tawi za mtaa unaoishi. Au kwa urahisi zaidi, muulize balozi wa CCM aliye mtaani kwako. Ada ni ndogo tu.