Hili jukwaa la biashara na uchumi kwa hiyo unataka tujadili kuhusu huyo demu au ufugaji? Tuambie ili tujue kwa kuanzia kukushauri
hahaaaaaaaaaa LMAO
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.
umesahau 'I' mkuu.....'LIMAO'

hahaaa umeshaweka sasa

Kwanini mnakuwa mnarukia mambo msokuwa na uwezo nayo sasa...
pole
Habari zenu wakuu. Nina mchumba ambaye ananilazimisha twende kwao,. Nampenda sana ila Nyumbani kwetu wanadai ni mapema mno Kuishi na Mwanamke sababu sijapata kazi bado, Kwa sasa nataka kujiajiri kuwa mfugaji. Tatizo lingine tena hataki kukaa kwao miezi mitatu nipate muda wa kujipanga.
Mawazo yamenijaa kichwani, Je niamueje?.
kwel kabsa!wanaume wa ukwel wanajua kujipanga sana katika kupambanua mambo!Wavulana mna kazi sana...
habar yako bibie