naomba ushauri jamani

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
nawasalimu wana JF kuna kitu nimekisikia ni ivi eti kuna madhara gani wakati mwanamke anapokuwa mjamzito na mwanamme kutoka nje ya ndoa kwa kipindi icho? niayo tu.
 
Akhaaah,we kwani unaonaje? Acha uzinzi!
 
Jibu ni;

1. Mwanaume anaweza pata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, ikiwamo UKIMWI...

2. Mume akishaambukizwa, na akifanya tendo la ndoa na mkewe, nafasi ya maambukizi kwa mama na mtoto inakuwa kubwa.

3. Kuvunja uaminifu, mapenzi na mahusiano mazuri baina ya huyo mwanaume na mama mjamzito na pengine kuja kuathiri ndoa na maisha ya baba, mama na mtoto atayezaliwa.

Umeelewa?
 

bora umemuelimisha,,, anatafuta sababu ya kuzinika tuuu.....
 
Hakuna madhara we kacheat tu na wanawake pia wanaume we cheat nao tu jinsia zote. Shee....nzy.
 
Utaweza kumwambukiza ukimwi mama na mtoto aliyeko tumboni.
 
Hayo ni mataarifa ya mtaani hayanaga nafasi siku hizi achana nayo hayadhuru chochote labda akuletee UKIMWI na magonjwa mengine ila hamna kubemendwa wala takataka yoyote.
 
ni kama madhara ya wewe kuwa na wanawake wengi japo kwa mwenyendoa yanazd kwani atapoteza uaminif kwa mwenza wake, kutomtunza mzazi na pengne kusababsha ndoa (kama ipo) kuvunjka
 
chukua ushauri huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…