Naomba ushauri jamani!!!

IHANDA

Member
Jun 28, 2012
62
15
Jamani mimi niliwahi kuumwa ugonjwa wa kifua kikuu miaka 7 iliyopita na nilipata matibabu nikawa nimepona kabisa lakini cha kushangaza nashindwa kucheka!! na nikicheka kwa kujilazimisha basi nakohoa na hata mtu akinisukuma kidogo kifuani upande wa kushoto pia lazima nikohoe. Je, nina tatizo gani?*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom