Naomba ushauri jamani

kula maisha ww...tafta mwanamke aliyenona hapoo uish nae vizur
 
Wakufundishe ili uchukue nafasi zao ndio maana wanakucheck tu hapo
 
Chief Unapaswa kujua Umekosea kwanza.

Sijaona kama umeenda kwa immediate bosses kuona kwann hampewi kazi .. kuja kushusha shutuma hawajali huku mitandaoni nadhani sio sawa..

Pili acha Haraka... Kila sehemu zina misimu.. unajuaje kama huu si msimu dry!? Kuwa mvumilivu na mwenye hekima unapodeal na watu.

Tatu kazi inayoitaka wewe ni ipi!? Kuwa mwanafunzi mafunzoni sio lazima ufanye wakati mwingine all you have to do is observe. Unajifunza kwa kuona... Wengine wanavyodeal na wafanyakazi wenzao, wateja nk.

Kuwa Mpole.



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapo sehemu napajua sana nilishawahi kufanya internship miaka ya nyuma.
Hao ndivyo walivyo ni watu fulani hawajiamini wanahisi kama utachukua nafasi zao.
Na kingine pia hawapendi uzijue system zao kuna michongo huwa inafanywa sasa ukiwazoea sana wanahisi utawaharibia.
Cha kukushauri wewe kwa vile bado hujamaliza chuo bado wewe vumilia tu hapo hapo usipaniki utaharibu.
Cha msingi ujipange tu ujue ni jinsi gani utaandaa reports zako za baada ya kumaliza field ili upeleke chuoni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…