tajirihandsom
New Member
- Sep 5, 2016
- 4
- 0
ahsante mwayaPole eeeeee
mimi ni mtoto kipenzi katika familia yangu baba na mama wananipenda sana na hilo nalijuwa lakin kuna kitu cha ziada kina nisumbuwa sana kutokana nimejaaliwa uwezo kipesa na familia iko vema sana kipesa na nimashuhur sana hapa mjini lakin sioni thamani ya yote haya ikiwa mimi ni shoga japo sijulikani hata wazazi hawajuw wala hawajawahi kuhisi hata sku1 lakin unakuta napenda mvulana nagharamika kumnunulia gari makaz mazur kusafir nae nk; mwishao wasiku naumizwa sana najiuliza why nipo hivi nimeangaika sana kwa wana saikologia mashughur usa canada china nk but steel nipo hivi tu kama dem nikiwa na mume wangu naona raha sana kama dem ila najiuliza mwisho wake nini ukiangalia kila sku wazur wapo japo mimi sina katabia kakubadili wanaume mana sifanyii ziki ila naumia tu na ili swala mama abab akijuwa itakuaje naomba hata kama kuna waganga wa kienyeji wanaweza mnisaidie mana imefkia hatuwa hata akija boy mzur ofcn mie ndio nakua kama mfanya kaz kwa kumnyenyekea kisha najistukia naaacha naomba ushaur wenu pls
Wewe unataka mwenzako atangaze kuwa anajiua ndo utaamini, Kuna mtu aliwahi kuandika kama hivi hivi watu wakampuuza na baadhi ya watu waliokuwa wanajuwa jamaa yuko serious walimfuata mpaka guest house aliyokuwa amekaa ili kutekeleza adhama yake ya kujiuaNimeangalia thread yako, ina makosa mno. Haina nukta wala mkato ila sio kosa lako ni kosa la wazazi wako, wana hela ila hawajakupa elimu.
Halafu huku sio vijiwe vyenu vya FB vya kutuletea uongo usio na kichwa wala miguu
Ajiue kwa ajili ya comment za humu??? Chaaa!!Wewe unataka mwenzako atangaze kuwa anajiua ndo utaamini, Kuna mtu aliwahi kuandika kama hivi hivi watu wakampuuza na baadhi ya watu waliokuwa wanajuwa jamaa yuko serious walimfuata mpaka guest house aliyokuwa amekaa ili kutekeleza adhama yake ya kujiua
bro usifkir mie ni shoga mchafu kujitangaza hapa mie sitongoz natongowa na nakataa mimi nataka ushaur tu sio matusiAya mnaopenda mapunga mfaten mkachezee kichuguu cha nyuki