Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 329
Jamani kuna binti tulikubaliana kuja kuishi mke na mume sasa pingamizi kubwa ni dini yeye ni muislamu .naomba ushaur nifanye nini katika hali hii
hahahaha ilikuwa chapa isepe BT imelala ndo tatizo iloKipind mnakubaliana kuja kuish pamoja mlikua wapagani kwan
Uskute kashamvimbisha so hesabu hazikaihahahaha ilikuwa chapa isepe BT imelala ndo tatizo ilo
kazi anayo kwahiyo mtoto atakuwa mpaganiUskute kashamvimbisha so hesabu hazikai
Kumbe una busara sometimeskama kila mtu anavutia kwake hamtaki badili dini jifungieni tu bomani
mimi nina busara mda wote si ww unanichukulia chiziKumbe una busara sometimes
Ha ha ha ha ningekua sikufaham sawa ningesema wanakusingziamimi nina busara mda wote si ww unanichukulia chizi
ujue mm mtu na heshima zangu naitwa mama mimiHa ha ha ha ningekua sikufaham sawa ningesema wanakusingzia
Ha ha ha ha kwahyo unataka nkuamin mama mkono mtupu haulambwi.... unaweza Kua sio cha kengele ila busara zako ni za msimu kama embe ng'ong'oapo ndio tunaposhindwana mm na ww hivi bonny kwa nn hauniamin? au unajua naishi na wazazi nasubilia chakula cha kengele [emoji15]