Fyodor Dostoevsky
Senior Member
- Mar 23, 2022
- 121
- 85
Na mimi nahisi hivo sema nimesikia eti akiomba vyuo kama CBE anachukuliwa.!?kaka hapo chuo kikuu apana aendi ana cutpoint ya 4 hapo kaka angalau angekua na D 2 ZA MASOMO YA COMBI YAKE ondoa hiyo ya gs ahiesabiki
shida sio chuo kikwazo ni TCU wameshaweka muongozo point ni 4 ndo zinakupeleka chuo..Ila mwambie ajaribu ata OUTNa mimi nahisi hivo sema nimesikia eti akiomba vyuo kama CBE anachukuliwa.!?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Dah hyo out ikoje au aende DIPLOMA .akapige education?shida sio chuo kikwazo ni TCU wameshaweka muongozo point ni 4 ndo zinakupeleka chuo..Ila mwambie ajaribu ata OUT
Naona ndogo sana aisee bora angepata hata 13Huyo atumie cheti cha form 4 tu
pharmacy c anaenda japo ana F ya math ila olevel ana 2 ya 18.F ya Math tu ndio anayo.Aende diploma, cha kusoma huko muulize yeye anataka nini , aende hata Tengeru pale asomee mifugo
Yaani watu mmekalilishwa, sasa hapo akiajiriwa analipwa sh. ngapi kwa mweziππππππππ.asipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndia fani zenye ajira na kujiajiri pia.
yeye phys n math F ila the rest CAkirudie chet chake cha kidato cha nne akasosome clinical ,au unes Ata madawa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Najua wengi watakushauri mara akosemee unesi mara utabibu.Ndugu samahani,najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG...
mchawi phys the rest Casipoteze muda chuo kikuu hawezi pata hana D mbili katika tahasusi yake CBG nashauri kama form 4 ana D kwenye Fizikia Kemia na Biolojia aende kusoma Clinical Officer au Diploma ya Nursing ndia fani zenye ajira na kujiajiri pia.
chuogani? level gani?Najua wengi watakushauri mara akosemee unesi mara utabibu. Chukua ushauri huu, mpeleke akasomee uhasibu atafika mbali zaidi kielimu na kimaisha kwa muda mfupi.
Aanze diploma, vyuo vya uhasibu ni vyuo vikuu kabisa, kuna CBE, IFM, TIA, MZUMBE, n.k