naomba ushaui

sasha itelewe

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
81
Reaction score
78
mtoto wangu ana ufaulu wa EDD,PCM ni msichana .round ya kwanza tulijaribu ardhi,udom,mzumbe na udsm kwa course za information system ,bcom (udsm na building economy ardhi tumekosa zote.tumejaribu second round kuona uwezekano.je asipofanikiwa naweza jaribu course zipi tena na vyuo gani.ukizingatia watu wa pcm hawana sana vyuo binafsi,naomba ushauri nachanganyikiwa form four alipata one ya 12
 
Kwa sasa unachofanya ni kichagua kozi tu ilimradi uende chuo!! Hii ina madhara na madhara utayaona ukianza kazi.

Kama hamna kozi unayoipenda bora ungoje mpaka mwakani.
 
Cheki chuo Cha sayansi Mbeya Civil, cheki DIT Electrical, cheki St Joseph , Mchagulie vyuo vyenye nafasi kutokana na ufaulu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…