Aidan Kabakamas
Member
- Dec 22, 2016
- 41
- 24
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaaahaaaaaahBro samahani sana,
Unasema mahali mil6 ukakubali- UJINGA HUO
Bdo kodi inakukimbiza inaonekana unaishi nyumba yakupanga badala u struggle ununue hata kiwanja - UPUMBAVU HUO
Na bdo mchumba wako wanakupangia hawatak ndoa yakawaida - UZOBA HUO
Sasa unaelekea kwenye - USHOGA
ππππππππππBro samahani sana,
Unasema mahali mil6 ukakubali- UJINGA HUO
Bdo kodi inakukimbiza inaonekana unaishi nyumba yakupanga badala u struggle ununue hata kiwanja - UPUMBAVU HUO
Na bdo mchumba wako wanakupangia hawatak ndoa yakawaida - UZOBA HUO
Sasa unaelekea kwenye - USHOGA
Naomba ushahuri na sio matusiBro samahani sana,
Unasema mahali mil6 ukakubali- UJINGA HUO
Bdo kodi inakukimbiza inaonekana unaishi nyumba yakupanga badala u struggle ununue hata kiwanja - UPUMBAVU HUO
Na bdo mchumba wako wanakupangia hawatak ndoa yakawaida - UZOBA HUO
Sasa unaelekea kwenye - USHOGA
Omba usogeze mbele hiyo harusi mwezi wa saba si mbali ujue, dah yani kuna wazee wakatili 6M?
Kadi zinasambazwa vipi wakati hata mahari hujailipa bado???kuna shida mahali either ni uzi wako au wewe mwenyewe
Pole sana bro, ila tu pamoja na kukupangia yote ayo wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho, kaachini angalia kipato chako kwa siku,week,mwez fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako pia iyo ndoa ni tukio la siku moja japo linakumbuku lakn lisikuumize, ongea nao toa msimamo wako kama mwanaume, kama unashindwa kutoa maamuzi basi wewe ni dhaifu na ndoa itakushinda.
Kashindwa kabisa.Milioni 6? Huyo dada kashindwa kukutetea? Dah