KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,148
- 1,907
- Thread starter
- #21
Asante kwa Ushauri Mzuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni dalili mbaya sana kwenye mahusiano...inawezekana hata mimba sio yako mkuu...usioe kwa sababu anamimba yako,mweke chini ongea nae na umwambie umejua kila kitu baada ya hapo wew ndo utaamua sasa..uendelee nae au unanze upya.
Sent using Jamii Forums mobile app