naomba unishauri juu ya hili nimepangiwa UDOM software engineering lakini pia niliomba diploma ya electrical eng. DIT nimepata sijajua soko la ajira kwa software engineering liko vipi naomba ushauri wenu...
mwana electricl by nw iko poa xana,ht hvyo thnk f ur future,thn maswala ya cmptr hayana soko na hayatakuja kuwa na soko,coz ni weng wanafanya hyo mambo,kuna mdogo flan kitaan kwe2,aliomb diplma ya geology n minerl explortn,thn at the same tym akachaguliwa udom information system,ameamua kwenda diploma,nilikua namshangaa ila nimemuelewa nw,xo make a wise choice and thnk of ur future and ur family status.
electrical is the best...ila hme pakoje?? je kuna uwezekano wakuchange program pale udom...kwa taarifa fup ni kwamba ni ngum! ila hapa unazungumzia software engineering na sio comp engineering..japo bado ni mpya sana hapa bongo naima ni udom tu ndo wana offer hiyo prog market yake inaweza kuwa nzuri!!!!
KWA UPANDE WA PILI....
cheki sana wewe unapenda nini?? je mining unapenda?? software engineering unaiona vip?? SIKILIZA MOYO WAKO KAKA!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.