Naomba usaidizi: Uume hausimami

Inaweza kuwa tatizo ni la kisaikolojia ama kimwili... inabidi upate mtaalamu akuulize maswali ndipo itagundulika tatizo liko wapi.
 
Bro umelogwa nicheck dm nikuelekeze kitu

Unaishi wap? Wewe mwenyeji wa wap? Kabila gani?

Nielezee historia yako fupi ya mahusiano uliyopita

Wazee wako wa kimila wapo?
Una mahusiano mazuri na wazee wako walezi wako

Miaka 40 midogo sana kwa matatzo hayo, Una mtoto hata mmoja au zaid

Kama hauna hela usinicheck tutasumbuana… jokes mkuu ila kama upo seriously hakikisha inasimama hiyo
 
Mzee wa papuchi.. itakuaje sasa papuch utazifanyaje?
 
Huyu kaomba usaidizi japo hajasema ni usaidizi wa namna gan na nyie mnampa ushauri. Ok bro mimi labda unitumie namba ya shemeji ntakusaidia ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…