Naomba unishauri kuhusu hili

Naomba unishauri kuhusu hili

Nadhani ni vema ungepeleka JamiiDoctor inawezekana wakakushauri kwanza kuhusu kuimarisha afya kabla ya kuangalia elimu. Naweza kiwa siko sahihi sana kulingana na lengo lako...
 
Asanteni sana wakuu nathamini mawazo yenu.
 
pole sana kwa tatizo lako, nakushauri uende kwa dactari ili akufanyie vipimo. afu kama siku nyingine post kama hii unapost jf doctor
 
Back
Top Bottom