King of REACTIONS
JF-Expert Member
- Oct 6, 2026
- 402
- 519
Muhimu azingatie hapo kwenye WA KILA AINA😀😀Karibu sana JF, kisima Cha maarifa huku utakutana na great thinkers wa kila aina
Kabisa 😃Muhimu azingatie hapo kwenye WA KILA AINA😀😀
Umeuliza kwa msisitizo sana mkuu naona udanganyifu humu ni mwingi sana hata mtu akijiita King inabidi aulizwe jinsia yasije kuwa kama yale ya yule dada wa Kenya anajiita KING KALALAKaribu sana mkuu, we ni me au ke?
Hakika mkuu...Halafu mbona anajoin usiku hivi?Umeuliza kwa msisitizo sana mkuu naona udanganyifu humu ni mwingi sana hata mtu akijiita King inabidi aulizwe jinsia yasije kuwa kama yale ya yule dada wa Kenya anajiita KING KALALA
Majukwaa mengine utakua huyatembelei?Nina furaha kujiunga rasmi katika hili Jukwaa, baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu.
Nashkurrlu
😂Nashkurrlu
Mimi ni MeKaribu sana mkuu, we ni me au ke?
Sawa mkuu, nitalizingatia hiloMuhimu azingatie hapo kwenye WA KILA AINA😀😀
Shukran mkuu ni nafurahi kujumuika nanyiKaribu sana JF, kisima Cha maarifa huku utakutana na great thinkers wa kila aina
Hahahaha Hapana mkuu mimi ni jinsia ya kiumeUmeuliza kwa msisitizo sana mkuu naona udanganyifu humu ni mwingi sana hata mtu akijiita King inabidi aulizwe jinsia yasije kuwa kama yale ya yule dada wa Kenya anajiita KING KALALA
Asante kiongoziKalibu sana mkuu,
Umtaadharishe pia na ongezeko kubwa la ombaomba wa JFKaribu sana JF, kisima Cha maarifa huku utakutana na great thinkers wa kila aina