Naomba ujuzi wa namna ya kubypass slow website

Khalid91

Member
Feb 2, 2020
56
41
Habari wakuu,

Ukiwa unafanya application katika website huku ukihitajika ku_upload some files na wakati huo website ikawa slow kulingana na kuwa overwhelmed na applications nyingi kutoka kwa watu mbalimbali.

Je, kuna app yeyote au namna yeyote ya kubypass hii lag na kufasten the process?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…