Naomba ufafanuzi

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari halmashauri fulani tangu 2008 hadi 2009 nilipoenda kujiendeleza.Baada ya kutoka masomoni 2012 sikurudi kituoni.Sasa wamenipigia simu kuwa wataniondoa kwenye payroll.
Sasa naomba wadau mnifafanulie,ukishatolewa payroll ni kweli huwezi ajiriwa tena hapa nchini kwenye kada hiyohiyo?je ni kweli kuwa ukiruhusiwa kurudi inabidi uombe upya kazi?
 
Mkuu, uwe na huruma pia na Wanafunzi ambao walikua wanakosa huduma yako wakati haupo kituoni. Kwanini usingetafuta njia ya kujiendeleza wakati unaonekana angalau mara mbili kwa wiki? Navyojua ajira ya waalimu mara nyingi zinakua za moja kwa moja hivyo sina hakika kama unaweza kuajiriwa tena kama umesomea fani mpya ambayo sio ya ualimu uweze kuajiliwa tena kwa vyeti vya zamani.
 
Kwasasa Wizara ya Utumisha ina Database
ya Majina yote waliopata ajira Serikalini
usiporipoti kituoni ukafurwa kazi

Hutawezi ajiriwa kama utajavyo wewe maana
wenye kutafuta kazi ni wengi sana.
Lakini kuna Member hapi juu kakupa ushauri
mzuri mzuri bila VAT. Rudi kituoni qanafunzi
wanataka huduma yako Mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…