Naomba ufafanuzi kwa wajuzi na wataalamu wa Lugha adhimu ya Kiswahili,juu ya maneno haya, mbwa na nje.kwann huandikwa tofauti na yatamkwavyo,kwann yasingeandikwa mmbwa au nnje..nijuzeni wadau wataalamu.