mkuu mtoa mada hiyo avatar ni salama kweli kwa afya yako?
nchi imekuwa serious hii,angalia usije ukaozea segerea hasa ukizingatia hata liyeibuni na kuichora hawana uhakika kuwa ni nani hasa...
Mkimya-anafanya maamuzi panapostahili.
Mwoga-hawezi fanya maamuzi hata kama anaona yuko sahihi(mfano mzuri monita na viranja wa ccm) hadi mwl mkuu wao aseme.
Mkimya-anafanya maamuzi panapostahili.
Mwoga-hawezi fanya maamuzi hata kama anaona yuko sahihi(mfano mzuri monita na viranja wa ccm) hadi mwl mkuu wao aseme.