Naomba ufafanuzi wa sentensi ifuatayo katika siasa

kyutta

Member
Jun 11, 2016
34
25
Unaweza kudanganya watu wote katika Taifa kwa muda Fulani, lakini huwezi kudanganya watu wote muda wote, ELEZEA.
 
SUBIRIA WENYE TAALUMA YAO WAJE...........
''YOU CAN PLEASE ALL OF THE PEOPLE SOME OF THE TIME AND SOME OF THE PEOPLE ALL OF THE TIME, BUT YOU CAN'T PLEASE ALL OF THE PEOPLE ALL OF THE TIME''
 
Unaweza kudanganya watu wote katika Taifa kwa muda Fulani, lakini huwezi kudanganya watu wote muda wote, ELEZEA.
Nafikiri kwa ninavyokumbuka tafsiri ya Kiingereza ni 'unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa kipindi fulani, ila huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote'
Kiufupi ni njia ya mwongo ni fupi, utandanya kwa muda kwa baadhi ya watu ila ukweli ukijulikana kupitia kwa watu wengine wanaoujua ndio mwisho wa uongo.
 
Back
Top Bottom