Niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki.
Natarajia mko wazima wakuu, niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki, natangulia shukrani
Jina halisi ni Mitiki. Kwa kiingereza Teak
Kisayansi Tectona grandis pia hujulikana Kama Grandis teak.
Inakua maeneo yenye joto la unyevu angalau 13°c+
Kwa mahitaji ya Miche elimu na ushauri wa Miche hii tuwasiliane

Mitiki unaweza kuuza soko la ndani kampuni Kama Tiger Teak, KVTc, Prime Timbers Metl na nyinginezo,
Lakini pia Kuna masoko ya nje kutoka nchi Kama India na Pakistan.
Mitiki inavunwa kuanzia miaka 15-20,
Kampuni nyingi hupendelea kununua mti kuanzia miaka 18 kwasababu kiini chake kinakua imara na rangi ya brown iliyoiva.
Kwahiyo mauzo ya mtiki yanaangalia zaidi kiini chake (umri) kuliko size (unene)
Kwa huduma ya miche bora ya Mitiki karibu sana tukuhudumie.
Bei ya mche ni shilingi 1000
Na stump (kipandikizi) ni shilingi 400 tu katibu sana tukuhudumie.
Tunapatikana kibaha pwani.
0766006128