Naomba ufafanuzi wa malipo kwa wanaomiliki blogu

Gochavez

Senior Member
Apr 30, 2013
163
133
Habarini!

Nilikuwa naomba msaada kidogo kuhusu hizi sheria za mtandaoni kuhusu kuwa na maudhui ya kimtandao ( online contents ).

Hivi nikiwa namiliki au nataka kumiliki blogu natakiwa kulipia ile laki moja ya usajili kwanza kisha nilipe ile milioni 3 kwa awamu awamu.

Nimejaribu kuzisoma hizo sheria nimetoka kapa maana zipo kwenye lugha ya kingereza na kingereza cha kisheria kidogo sio kirahisi sana

Naomba kuwasilisha!!
 
Endelea kuwachekea CCM.

Hiyo blog yako inaingiza shilingi ngapi mpaka sasa ?
 
Back
Top Bottom