Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Wish

Johnkelly

Member
Nov 14, 2016
75
45
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya Toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable.

Nawasilisha.

1627377879951.png
 
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable nawasilisha
TOYOTA WISH

CC 1790 PETROL
Automatic
2WD
Seat 7
Door 5


Fuel Consumption yake 14 Km/L


Ubora liko vizuri ila kama unakaa sehemu yenye barabara mbaya litakuwa linakwaruza sana chini hii itapelekea body lake lionekane baya/ gari kuonekana imechoka

Comfortability iko poa
FB_IMG_16273314603918665.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Opa zetu walisema ziko kama Jeneza

Noah walisema kama Nguruwe/kitimoto

Sasa hii mpya tena Wish kama panya asanteni kwa kutudharau
Hahahahah wanaitaga opa gari ya kubebea maiti πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kmmmk zao walai! Leo Wish imekaa kama panya πŸ˜‚ ila hii kama inakuja flani hasa ukiiangalia on the sidewaysπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom