Naomba ufafanuzi na ushauri kuhusu kozi hii

Good Mood

Member
Sep 12, 2018
58
118
Habarini wana jukwaa wenzangu. Naomba mwenye uelewa kuhusu kozi ya enviromental Health Science anisaidie kunifaamishe kwenye kipengele cha ajira kama kozi ina soko au laa.

Pia, jinsi ya kuthibitisha kozi NACTE maana nimejaribu kuingia kwenye website yao lakini haifunguki.

Nitashukuru kwa mawazo wenye kujenga zaidi
 
Nenda nacte pale kuna sehem utaiona kwenye matangazo yao sehem ya kwanza kabisa imeandikwa uthibitisho tamisemi
 
Back
Top Bottom