Naomba ufafanuzi kwenye hili

Naomba ufafanuzi kwenye hili

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
222
Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya
Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi
Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi
Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ na Malawi
Mfano ukimpa Tsh 20000 anakupa Kwacha 26600
Inakuaje kunakua na tofauti...?
 
Siyo mtaalamu sana wa Mambo haya ila kuna wakati mabank yana rates mbili tofauti! Kuna rate inayotumika kubadilisha fedha chache na nyingine wanatumia kubadilishia pesa nyingi!
 
Aysee nami nataka kujifunza
Ads nalipiaga kwa bei kubwa sana kuna muda $1 nanunua hadi 3k ila ukiangalia google unakuta ni 2650
 
kwa kifupi kabisa

1. Google/Currency apps zinaonyesha rate ya benki tu (ya juu na ya marejeo).

2. Huduma kama Airtel hukata makato na kutumia rate yao ya chini, ndiyo maana unapata MK kidogo.

3. Wakala wa mpakani mara nyingi hutumia rate ya mtaani (street rate) ambayo inaweza kuwa nzuri zaidi, hasa kama hana makato makubwa.

Kwa hiyo

Uki-google = rate nzuri sana (lakini ni ya benki, si halisi)

Ukiwa na wakala = unaweza kupata zaidi kwa sababu ya "street rate"

Ukiwa na huduma rasmi = wanakata ada, rate yao iko chini
 
Possibility kubadilika kwa currency its over hours tu so unaweza kutana na badiliko la currency muda mfupi ,ila nashauri tafuta reliable apk ya currency zipo nyingi zitakazo kupa uhalisia
 
Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya
Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi
Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi
Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ na Malawi
Mfano ukimpa Tsh 20000 anakupa Kwacha 26600
Inakuaje kunakua na tofauti...?
Mkuu kwacha kwanza kwa saiv ina thaman kubwa kuliko pesa yetu...
Lazima ujifunze foreign exchange inafanya kazi vipi..
 
Uki google mtandaon ndio ina thamani ila ukienda mpakani hela yetu ndio inamathamani
 
Back
Top Bottom