Naomba ufafanuzi kuhusu "ITU-Personal history form"

Naomba ufafanuzi kuhusu "ITU-Personal history form"

hery_edson

Senior Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
167
Reaction score
191
Habari za asubuhi wana jamiiforums nilikuwa naomba msaada,

kwenye matangazo ya kazi wanaposema au wanapohitaji "address applications with completed ITU Personal History Form (PHF)" inakuwa inahitaji ni attach, address kitu gani kwenye application yangu husika ambapo nahitaji kutuma/ku-apply?
 
Back
Top Bottom