Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuchelewa kufika kileleni kwa mwanaume

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Habarini za asubuh wakuu,

Mimi ni muhanga wa kupiga nyeto maana kama mnavojua kuna muda mpenzi anakuwa mbali inabidi tujihudumie maana kwenda kuokota mali za barabarani sijazoe.

Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwamba unakuta labda leo nimepiga nyeto halafu siku moja baadaye nikija kufanya mapenzi na mpenzi wangu napata shida kukojoa na unakuta unaenda hadi dk 20 lakini wapi... au ndo kusema kwamba nimeshalizoea uke wa mpenzi wangu au ndo nina mbegu chache?

Natumaini nitapata mrejesho mzuri kutoka kwenu..
 
Me nashangaaga wanaodai PUNYETO inakuletea matatizo eti ooh nguvu zinaisha unawahi kukojoa
thubutu wapiga NYETO tuko vizuri mpk mademu wenyewe wanaomba poo
Ebwanaee NYETO DAIMA milele IDUMU
 
Acha nyeto dogo tulia na demu, siku network ikikata utajua hujui
 
Me nashangaaga wanaodai PUNYETO inakuletea matatizo eti ooh nguvu zinaisha unawahi kukojoa
thubutu wapiga NYETO tuko vizuri mpk mademu wenyewe wanaomba poo
Ebwanaee NYETO DAIMA milele IDUMU
Pia nyeto inakuza uumme inafanya uume uwe strong
 
Habarini za asubuh wakuu,

Mimi ni muhanga wa kupiga nyeto maana kama mnavojua kuna muda mpenzi anakuwa mbali inabidi tujihudumie maana kwenda kuokota mali za barabarani sijazoe.

Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwamba unakuta labda leo nimepiga nyeto halafu siku moja baadaye nikija kufanya mapenzi na mpenzi wangu napata shida kukojoa na unakuta unaenda hadi dk 20 lakini wapi... au ndo kusema kwamba nimeshalizoea uke wa mpenzi wangu au ndo nina mbegu chache?

Natumaini nitapata mrejesho mzuri kutoka kwenu..
Gombeyehealthcare.
Tunatoa huduma zote , Matatizo ya Mfumo wa uzazi kwa jinsia zote, Matatizo ya Mifupa, Matatizo ya Mmengonyo wa Chakula nk.
Kwa tatizo lako wasiliana nasi Gombeyehealthcare kwa namba.
+255 678 211 747/ +255 733 482 038.
Tunapatikana Dar es salaam ILALA.
 
Back
Top Bottom