Mdongo wangu amechaguliwa UDSM ila nimemwambia aje aishi nyumbani kwangu,kama una pesa mpe akuachie nawewe ujiachie kwenye kitanda chako.Aisee mi natafuta wa kunibeba kwa wale waliochaguliwa UD![]()
![]()
Hahhaaa hahahaa mkuu VIP??? Ulitamani kusoma ud sema ndio hivvyo tena....unaishia kubezaVijana mliosoma udsm sub-campus za zoazoa walimu wapate elimu mnasumbua mitandaoni mpaka tuliosoma soma za maana tunaonekana wote ni hovyo.
Vipi mtu kutoa na kuanza kupondea vyuo vya wenzio wakati umeenda na div III Udsm kusoma ualimu????
Povu,,,hujui kuwa wenye alama nzuri wanachaguliwa UDSM ndio vyuo vingine vinafuata.
Huyo aliyesababisha maneno mengi ni mbishi jaribu kusoma alikuwa anabisha jambo gani?
Option ya kwanza alichagua UDSM ila akapelekwa TEKU sasa amesahau kuwa hakuweka TEKU kama chaguo la kwanza.Hahhaaa hahahaa mkuu VIP??? Ulitamani kusoma ud sema ndio hivvyo tena....unaishia kubeza