Naomba ufafanuzi kuhusu BAED

Naomba ufafanuzi kuhusu BAED

Umeeleza vizur sana but ni kinyume chake, bachelor of education in science au in art ndio anakuwa na 2 teaching subjects while bachelor of science with education ndio ana one teaching subject
Si kweli with ndio ina masomo mawili na in inabase kwenye somo moja.
Kama nimekosea ruksa kunisahihisha
 
1990s uliyeenda ud kwa mafuriko
Kwani sasahivi unajua niko wapi.
Nina uhakika UDSM ni somo moja la kufundishia kwa wale wa BED ila BScEd na BAEd ni masomo mawili.

Najua umesoma chuo cha ..............
Ndio maana mbishi.
 
Kwani sasahivi unajua niko wapi.
Nina uhakika UDSM ni somo moja la kufundishia kwa wale wa BED ila BScEd na BAEd ni masomo mawili.

Najua umesoma chuo cha ..............
Ndio maana mbishi.
Yap. Mkuu umesema vema sema sometimes haya majina yanatofautiana. Si unajua hv vyuo vya juzi juzi
 
Udom kama sikosei wanatoa masomo mawili.
Na hii ni baada ya kuwa wanapata shida kwenye upande wa kuajiriwa kwakuwa wenye masomo mawili wanapewa zaidi priority.
Labda UDOM sasa kuna mmoja hapa anasema kote ni masomo mawili,umeeleweka feitty
 
Hahaha sawa mwalimu Wa LL kama nakuona vile ukiangaika na remote sense
sina tabia ya kuponda vyuo hivi vipya ila leo imenilazimu kutumia maneno kama "vyuo vya kata" baada ya kuona jamaa mbishi.
 
Vijana mliosoma udsm sub-campus za zoazoa walimu wapate elimu mnasumbua mitandaoni mpaka tuliosoma soma za maana tunaonekana wote ni hovyo.
Vipi mtu kutoa na kuanza kupondea vyuo vya wenzio wakati umeenda na div III Udsm kusoma ualimu????
 
Povu,,,hujui kuwa wenye alama nzuri wanachaguliwa UDSM ndio vyuo vingine vinafuata.

Huyo aliyesababisha maneno mengi ni mbishi jaribu kusoma alikuwa anabisha jambo gani?
 
Back
Top Bottom