Future yake ni kuja kutoa kichapo kama kile cha wale maticha wa mbeya mkuu!Nmechaguliwa hii kozi ya bachelor of education in science naomba kuuliza future yake na vipi upatkanaj wa ajra kuhusu hii kozi kwa yeyote mwenye uelewa naomba msaada

mdau chuo gani umechaguliwa ?Nmechaguliwa hii kozi ya bachelor of education in science naomba kuuliza future yake na vipi upatkanaj wa ajra kuhusu hii kozi kwa yeyote mwenye uelewa naomba msaada
Pongezi kwako.Baed ni bacherol of art with education
Maana yake ni mwalimu wa sanaa katika masomo mawili ya sanaa mfano kiswahil na history. Au geog na english
Wewe umechaguliwa bachelor of education in science... yaan unasoma pure ualimu plus one teaching subject ambalo ni la science....
Hongera. Ila nakushauri kwamba nenda kasome bacherol of science with education ambapo utakuwa na two teaching subject
Itakuwa nafaida kwako katika kupata ajira. Kwa mfano nowday ajira za serekalin ndio zishaanza kuwa ngum
Ukiwa na two teaching subjects inarahisisha upatikanaj wa ajira privatly
Masomo mema kijana
Umeeleza vizur sana but ni kinyume chake, bachelor of education in science au in art ndio anakuwa na 2 teaching subjects while bachelor of science with education ndio ana one teaching subjectBaed ni bacherol of art with education
Maana yake ni mwalimu wa sanaa katika masomo mawili ya sanaa mfano kiswahil na history. Au geog na english
Wewe umechaguliwa bachelor of education in science... yaan unasoma pure ualimu plus one teaching subject ambalo ni la science....
Hongera. Ila nakushauri kwamba nenda kasome bacherol of science with education ambapo utakuwa na two teaching subject
Itakuwa nafaida kwako katika kupata ajira. Kwa mfano nowday ajira za serekalin ndio zishaanza kuwa ngum
Ukiwa na two teaching subjects inarahisisha upatikanaj wa ajira privatly
Masomo mema kijana
Acha uongo BED(Sc&A) ndio somo moja la kufundishia na BScEd na BAED ni masomo mawili ya kufundishia.Umeeleza vizur sana but ni kinyume chake, bachelor of education in science au in art ndio anakuwa na 2 teaching subjects while bachelor of science with education ndio ana one teaching subject
We ndo umeeleza kinyumee mkuu,jaribu kuangalia madesa yako tens mkuuUmeeleza vizur sana but ni kinyume chake, bachelor of education in science au in art ndio anakuwa na 2 teaching subjects while bachelor of science with education ndio ana one teaching subject
kote siku hizi ni masomo mawiliAcha uongo BED(Sc&A) ndio somo moja la kufundishia na BScEd na BAED ni masomo mawili ya kufundishia.
Au wewe umesoma chuo kipi mwenzetu.
Acha uongo kote wapi mbona UDSM ni somo moja au unaongelea vyuo vya.............................kote siku hizi ni masomo mawili
Siku hizi kote ni masomo mawili wewe hata UDOM enyewe wameshabadilisha siku hizi ni mtindo wa masomo mawili kila kona ya vyuo hapa TanzaniaAcha uongo kote wapi mbona UDSM ni somo moja au unaongelea vyuo vya.............................
Wewe umesoma Chuo gan, ndugu yangu udsm nn, maaana 1990s mnalingia hicho tu kichwan zeroAcha uongo BED(Sc&A) ndio somo moja la kufundishia na BScEd na BAED ni masomo mawili ya kufundishia.
Au wewe umesoma chuo kipi mwenzetu.